Halmashauri ya Wilaya ya Songwe
5 Positions
Application Period
24/12/2025 - 06/01/2026
Duties and Responsibilities
Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
Kufanya usafi wa gari; na
Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
Qualifications
Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
Remuneration
TGS B
How to apply
Login to AjiraPortal and then sign your application letter, confirm your CV and certified certificates then click Apply Now button.